kijana wa kuchoma na kuuza chips


POSITION DESCRIPTION:


Awe anajua kupika chips vizuri mishikaki na vinginevyo kwenye maswala ya chipsi. Miaka 18 hadi 24 awe anakaa karibu na eneo la kazi ambalo ni kimara korogwe . Mshahara ni mzuri na nauli ipo kila siku na chakula.


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Piga simu namba 0719700029 kuapply kazi hii
users online